ALBAM YA WEUSI YAKWAMA

Staa wa hip hop kutoka 'Kruu' ya Weusi iliyokita kambi  pande za A-Town, Nikki wa Pilli amesema kuwa albam ya kundi hilo iliyokuwa itoke mapema mwezi uliopia imekwama....

1:27 AM | Posted in | Read More »

STAA BONGO MOVE APIGWA STOP KUIGIZA

Nyota  kutoka tasnia ya  filamu Bongo Skyner Ally huenda asionekane tena kwenye ulimwengu wa move kufuatia kupigwa  stop kushiriki katika  kuigiza. Stori  'under carpet' ambazo Teentz.com imezinyaka kutoka...

1:24 AM | Posted in , | Read More »

CHEGE APATA AJALI, AJERUHIWA

Msanii wa Kigoma All Stars Chege Chigunda usiku wa jana amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Temeke jijini Dar es Salaam. Taarifa za awali kuhusu ajali hiyo...

1:21 AM | Posted in , | Read More »

Mario Van Peebles kuzindua filamu yake Mlimani City

Wakazi wa Dar es Salaam watanufaika na ujio wa muigizaji na muongozaji wa filamu wa Hollywood Mario Van Peebles aliyealikwa mwaka huu kama mgeni wa heshima kwenye tamasha...

9:55 PM | Posted in , | Read More »

Polisi atishia kumuua Michelle Obama

Afisa wa polisi wa jijini Washington D.C. anayehusika na kulinda maafisa wa ikulu ya White House nchini Marekani, amejikuta akipumzishwa kazi baada ya kudaiwa kutishia maisha ya First...

9:53 PM | Posted in , | Read More »

Mama yao Psquare alifariki baada ya upasuaji wa moyo

Sababu ya kifo cha Josephine Okoye,mama wa nyota wa muziki wa R & B nchini Nigeria wa kundi la Psquare, Peter na Paul imejulikana.Maelezo ya msemaji wa Psquare...

9:51 PM | Posted in , | Read More »

Simba Wafanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Urafiki

Simba SC wakishangilia pamoja na kombe lao baada ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Urafiki jana. Na Wilbert Molandi MABINGWA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Simba, jana walifanikiwa...

9:50 PM | Posted in , , , | Read More »

Wema Sepetu Avamiwa na majambazi

Na Musa Mateja SIKU chache baada ya kuanika utajiri wake, staa wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu (pichani), amevamiwa na majambazi na kukombewa vitu kadhaa huku gari lake...

9:47 PM | Posted in , , | Read More »

Fani Ya Umodo na Ushoga

.FANI ya u-modo (mitindo) ambayo awali ilionekana kuwa nyuma nchini Tanzania, sasa imeshika kasi baada ya akina dada warembo na wakaka watanashati kujikita huko. Ma-miss Tanzania, Jokate Mwegelo,...

9:45 PM | Posted in | Read More »

Aibu tupu Miss Apanda Jukwaani Bila Kufuli

Ni aibu tupu! Mnyange aliyeibuka mshindi wa pili kwenye kipute cha Miss Vyuo Vikuu au Miss Higher Learning 2012/13, Fatma Ramadhan (pichani), ameacha gumzo baada ya kukwea jukwaani...

9:43 PM | Posted in , | Read More »

Vita kati ya imani ya Freemason na makanisa

SASA ni vita! Si vingine ni kati ya imani ya Freemason na makanisa. Mchungaji wa Kanisa la Evangelist Assemblies of God Tanzania (E.A.G.T) lililopo Kipunguni B, Dar, Julius...

9:41 PM | Posted in , | Read More »

SAJUKI SHAVU... DODO

AFYA ya staa wa filamu za Kibongo, Sadick Juma Kilowoko ‘Sajuki’ imetengemaa ambapo sasa shavu dodo baada ya kupata matibabu ya kutosha nchini India alikokwenda kutibiwa hivi karibuni,...

12:08 AM | Posted in | Read More »

TANZANIA YAPANDA NAFASI 12 ZAID JUU.

Tanzania (Taifa stars) imepanda hadi kufikia nafasi ya 127 kutoka nafasi ya 139, huku ivory coast ikishika nafasi ya 16 Dunian. Mabigwa wa kutandaza kabumbu Spain ikishika nafasi...

12:05 AM | Posted in , , | Read More »

CHUZ,ROSE WA CHUZ WAMWAGANA

HATIMAYE ule uchumba wenye makeke wa Mkurugenzi wa Chuz Entertainment, Tuesday Kihangala ‘Chuz’ na msanii wa kundi hilo, Rose Michael ‘Rose wa Chuz’ umekatika na wawili hao wamemwagana,...

11:01 AM | Posted in , | Read More »

Timu ya Gyan Asamoah yamwaga Sh 160m

Kiungo mpya wa Yanga, Nizar Khalfan. Na Saleh Ally Klabu ya Al Ain ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), imesema ipo tayari kumsajili kiungo mpya wa Yanga,...

10:58 AM | Posted in , , | Read More »

Lulu Achimba Mkwara Mzito Mahakamani

MSANII maarufu wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amechimba mkwara mzito katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam, Risasi Mchanganyiko linatiririka.Lulu ambaye ni mshukiwa...

10:51 AM | Posted in , | Read More »

Diamond Apagawisha Songea-Show Yavunja Record

SHOO ya  nyota wa muziki wa kizazi kipya Bongo Naseeb Abdul 'Diamond' imeingia katka kitabu cha matukio yaliyokusanya watu wengi zaidi katika historia ya mji wa songea  na...

10:43 AM | Posted in , | Read More »

KANYE WEST, JAY – Z, BIG SEAN CHRISS BRIZZ WATISHA B.E.T 2012.

. Usiku wa Jumapili iliyopita Big Sean aliperform kwenye tuzo za B.E.T na Kanye west 2 Chainz na Pusha T. Alipata tunzo ya Best New Artist, Jay –...

10:40 AM | Posted in , | Read More »

Facebook boss Got Married ( Boss wa Facebook aoa mwanaume mwenzake)

. Baada ya mmoja wa waanzilishi wa mtandao wa kijamii wa facebook Chris Hughes kufunga ndoa ya jinsia moja na mpenzi wake wa muda mrefu bwana Sean Eldridge...

10:38 AM | Posted in , | Read More »

Kocha Mpya wa Yangu Huya hapa

...

10:34 AM | Posted in , , | Read More »

Uwoya na Flora Mvungi Wapakana Kisa H-Baba

MASTAA wawili wanaokimbiza kwenye sinema za Kibongo, Irene Uwoya na Flora Mvungi hivi karibuni wamevunjiana heshima kisa kikiwa ni msanii wa Bongo fleva, Hamis Ramadhani Baba ‘H. Baba’...

8:54 AM | Posted in , | Read More »

Mwanamuziki Pipi Aonyesha Picha za Ujauzito Wake

Mwanamuziki wa kike nchini Tanzania aliyewahi kutamba na wimbo ‘Njia Panda’, Doreen Aurelian Cassian Ponera aka Pipi, ameamua kuweka wazi furaha aliyonayo kwa kuwa mama mtarajiwa. Pipi ambaye...

8:46 AM | Posted in , | Read More »

Alpha: Milioni tisini za TPF3 bado unataka uendelee kushikwa mkono?

Wiki hii mshindi wa Tusker Project Fame msimu wa tatu Alpha Rwirangira wa nchini Rwanda ameandika barua ndefu kuishutumu kampuni ya East Africa Breweries Limited, EABL, kuwa imeshindwa...

8:45 AM | Posted in , | Read More »

Bob Junior kufunga ndoa Billicanas July Mosi

Mwanamuziki na producer anayemiliki studio ya Sharobaro Records, Bob Junior aka Mr. Chocolate Flava, ameamua kufungua ndoa kwa style ya aina yake. Amesema harusi yake itakayofanyika jumapili ya...

8:42 AM | Posted in , | Read More »

Drogba sasa huenda akatua Barca

DIDIER Drogba anaweza kufanya uhamisho wa kushangaza kuhamia Barcelona ya Hispania ikiwa ni muda mfupi tangu kusaini mkataba wa kuichezea timu ya  Shangha Shenhua ya China.Nyota huyo wa...

11:16 PM | Posted in | Read More »

Kocha mpya Yanga mambo safi

Clara Alphonce na Jessca NangaweMABINGWA  wa Kombe la Kagame, Yanga ya jijini Dar es Salaam, watamtangaza kocha wao mpya Ijumaa wiki hii, ambapo ataanza kazi rasmi mara baada...

11:13 PM | Posted in | Read More »

Bilioni 300 za vigogo Uswisi zatikisa nchi

Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Zitto Kabwe ZITTO AMTAKA PINDA ATAJE WAHUSIKA, WANANCHI WATAKA FEDHA ZIREJESHWE, MABILIONI ZAIDI YAIBWA MTANDAONIKUBAINIKA kwa Sh303.7 bilioni zilizofichwa katika akaunti za vigogo wa...

11:09 PM | Posted in | Read More »

Blog Archive

Labels

Recently Commented

Recently Added