Facebook boss Got Married ( Boss wa Facebook aoa mwanaume mwenzake)
Baada ya mmoja wa waanzilishi wa mtandao wa kijamii wa facebook Chris Hughes kufunga ndoa ya jinsia moja na mpenzi wake wa muda mrefu bwana Sean Eldridge jumamosi iliyopita huko New York City, USA last Saturday, the social networking website chose to symbolically introdMtandso huo umeamua kuongeza kitufe kitakacho ashiria ndoa za jinsia moja kwenye relationship status za mtandao huo.Kwa kawaida ilikua mtu akioa kwenye page yake ya facebook anaruhusiwa kubadilisha status ambapo kitufe cha facebook huwa kinaonyesha mwanaume na mwanamke lakini kwa sasa inaweza kuwa mwanaume kwa mwanaume au mwanaume kwa mwanamke.
Mabadiliko haya sio mapya kwenye mtandao wa facebook katika harakati za kwenda na wakati kwani 2011 facebook iliongeza kitufe cha kuonyesha kwamba ndoa imefungwa mahakamani hatua ambayo ilionekana kuunga mkono ndoa za kimahakama za watu wa jinsia moja.
Pamoja na hilo facebook imekua inatoa support kwa asasi zisizo za kiserekali ambazo zimekua zikiweka kipaumbele kwenye kutetea haki za mashoga na wasagaji.