SAJNA's NEW SONG - MBALAMWEZI
Wimbo mpya wa SAJNA unaitwa MBALAMWEZI, ni wimbo wa mapenzi na unapatikana katika album yake ya IVETA.
Asante sana kwa support unayoendelea kutupatia sisi kama Tetemesha.
Sukiliza wimbo huo hapo juu kwenye Play List
SONG DETAILS:
Track Name: MBALAMWEZI
Singer: SAJNA
lyrics composed by: KID BWOY & SAJNA
arranged by: KID BWOY & SAJNA
Beats Produced by: AMBA
Vocals recorded & Mixed by: KID BWOY
Studio: TETEMESHA RECORDZ