|

Ushahidi wa picha kwamba mali za Kanumba hazijauzwa

Hili ni moja kati ya magari matatu aliyokua akiyamiliki Kanumba.

Mama mzazi wa Marehemu Steven Kanumba akifanya Eclusive interview na Millard Ayo na kuthibitisha kwamba bado mpaka sasa hakuna mali yoyote ya Kanumba iliyouzwa, hapo ni sebleni kwenye nyumba aliyokua akiishi Marehemu Kanumba.

Hili pia ni gari lake jingine ambalo linatumika kwenye utengenezaji wa movie, picha zote hizi zimepigwa nyumbani kwa Marehemu Kanumba Sinza Vatican Dar es salaam, ambakoo anaishi mama yake kwa sasa.


Posted by Unknown on 11:29 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

Blog Archive

Labels

Recently Commented

Recently Added