|

Msanii Madee Kuanzisha Kombe La Ng'ombe (Soccer)



Unapoona jamii imekupa surport ya kutosha kufikia kwenye mafanikio uliyonayo, basi kuirudishia jamii ama ku give back huwa ndo jambo la muhimu zaidi, na styles za kugive back zinatofautiana, hivi karibuni rapper madee anatarajia ku launch shindano la mpira wa miguu, litakalojumuisha zaidi ya team 20 ndani ya wilaya kinondoni zitakazokua zinagombea ng’ombe madee huyu hapa anafunguka

Kombe la ngombe litaanza mwanzoni mwa mwezi wa saba....Nchini Marekani moja kati ya rappers waliojaribu kuanzisha mashindano ya Soccer ni pamoja na snoop dogg mwaka jana alikua na youth football league.

Posted by Unknown on 8:44 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

Blog Archive

Labels

Recently Commented

Recently Added