Jackline Wolper Ajibu Tuhama Zilizo Zagaa Kuwa Kanyang'anywa Gari
Kupitia blog yake J ameamua kujibu hizo stori ambazo zinadai kanyanga’nywa gari na mwanaume aliempatia.
Kasema “Uvumi unaonea kwenye mitandao kuwa nimenyang’annywa gari sio kweli. wakati naendesha Noah watu kimya, Lexus hakuna aliyesema nimenyang’anywa, inakuaje X6? Kuna ajabu gani mimi kuendesha X6? Wanawake tusijishushe kuonekana vitu fulani hatuwezi kumiliki”
“Nasikitika sana kusikia watu wanavumisha maneno kama hayo. Hivi inakuaje mtu unanyang’anywa gari yako mwenyewe? Nina kila uthibitisho wa kuonesha hii X6 ni yangu na hakuna atakayeweza kuninyang’anya” – J Wolper