Chege " Sina Mpango Wa Kuoa -Nyumba Kwanza"
Member wa kundi la Tmk wanaume faimly ambaye kwa sasa ana rock kwenye speaker za radio yako na ngoma called mwanayumba, namzungumzia mtoto wa mama saidi chege chigunda amedai kuwa yeye bado yupo yupo saaana, hana mpango wa kuchukua jiko kwa kile alichodai ndoa zina problem, na hata ma swahiba zake kina mh.temba hawamshauri kufanya hivyo, zaidi ya kumwonya kuwa asifanye hivyo Chege mwenye mtoto mmoja ambae anaishi na mama yake, na mwingine alifariki dunia hivi karibuni, siku chache baada ya kuzaliwa pia akafunguka kuwa amekamilisha mjengo wake ambao bado hajaamia na wakazi wa mtaa wake wapo kwenye process za kuuita mtaa huo kwa jina la Chege.