Jack Wolper Anyang'anywa Gari"
Mwigizaji ‘five star’ kutoka tasnia ya
filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, amenyang’anywa gari lake la
kifahari aliokuwa akitanua nao katika mitaa mbalimbali ya jiji la
Bongo.
Habari zenye ukweli 100% ambazo
Teentz.com imezinyaka zinasomeka kuwa Wolper anayejulikana kama Amber
Rose wa Bongo amenyang’anywa mkoko huo aina ya BMW X6 wenye thamani ya
‘ngawira’ za kibongo ML 170, sambamba na kupigwa ‘stop’ kukaribiana na
mshefa aliyekuwa amemnunulia ndinga hiyo.
Kwa
mujibu wa chanzo, hatua ya mshefa huyo kuamua kuchukua ndinga yake ni
baada ya kugundua kuwa Wolper anatoka kimapenzi na ‘sharobaro’ mmoja
anayemiliki duka maarufu la viwalo pande za Kinondoni.
Aidha chanzo hicho, kimeieleza Teentz.com kuwa hivi sasa mwanadada huyo ameamua kutembelea ndinga aina ya Noah aliyokuwa…
Mwigizaji
‘five star’ kutoka tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe,
amenyang’anywa ‘mkoko’ (gari) wa kifahari aliokuwa akitanua nao katika
mitaa ya mbalimbali ya jiji la Bongo.
Habari
zenye ukweli 100% ambazo Teentz.com imezinyaka zinasomeka kuwa Wolper
anayejulikana kama Amber Rose wa Bongo amenyang’anywa mkoko huo aina ya
BMW X6 wenye thamani ya ‘ngawira’ za kibongo ML 170, sambamba na
kupigwa ‘stop’ kukaribiana na mshefa aliyekuwa amemnunulia ndinga hiyo.
Kwa
mujibu wa chanzo, hatua ya mshefa huyo kuamua kuchukua ndinga yake ni
baada ya kugundua kuwa Wolper anatoka kimapenzi na ‘sharobaro’ mmoja
anayemiliki duka maarufu la viwalo pande za Kinondoni.
Aidha
chanzo hicho, kimeieleza Teentz.com kuwa hivi sasa mwanadada huyo
ameamua kutembelea ndinga aina ya Noah aliyokuwa anaitumia hapo awali
sambamba na kutoka kwa kuvizia kukwepa watu wake wa karibu washitukie
mchongo.
Katika kuhakikisha kuwa ukweli unajulikana Teentz.com iliamua kumsaka na baada ya kupatikana Wolper aligeuka mbongo na kudai kuwa hakuna jambo kama hilo isipokuwa kilichotokea ni kuwa gari limepata matatizo na ameamua kulipeleka ‘garage’.
Alipotakiwa
kueleza kuwa imekuwaje gari mpya kama ile aipeleke garage tene kwa
siku tatu Wolper alisme hivi: “Bwana eeh wee jua liko ‘garage’ hayo
maswali mengine mimi sitaki kuayasikia na kama una taka ugomvi endelea
kuniuliza” alisema na kuondoka haraka eneo alilokuwa amekaa