|

Kumbe Kuna Mmiliki wa Jumba La Wema Sepetu

Siku chache baada ya msanii mwenye vibweka vingi ndani ya tasnia ya filamu Bongo, Wema Abrahamu Sepetu kutangaza kuwa anamiliki mjengo wenye thamani ya shilingi za kibongo Ml 400, hatimaye mmiliki halisi wa mjengo huo ameibuka.
 Akizungumza na Teentz.com mapema leo,mmoja watu walio karibu na mmiliki huyo mwenye asili ya kiarabuanayemiliki jina la Ahmed au Msafiri kama anavyojulikana kwenye mitaa hiyo amesema kuwa Wema aliutangazia umma juu ya umiliki wake kwa nyumba hiyo wakati ambao kijana huyo wa kiarabu alikuwa safari nchini Brazil kwenye michongo yake.

 “Unajua Wema amewadanya watu kwa kiasi kikubwa, nafikiri anatakiwa kuomba radhi nakuwaeleza ukweli kwenye nyumba ile hana hata kipande cha tofali na mmiliki halisi ni mshikaji wangu Ahmed ambaye mara kadhaa huwa anasafiri kwenda nchini Brail  kibiashara” kilisema chanzo hicho.

Posted by Unknown on 11:34 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

Blog Archive

Labels

Recently Commented

Recently Added