Couple Alert: Eddie Murphy Atoka na Mtangazaji wa BET!
Kuna new couple ndani ya ‘Hollyweird’ na si wengine zaidi ya ‘babu’ Eddie Murphy na Rocsi Diaz (1983)!! Staa huyo wa Coming to America ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 51 ameonekana pamoja na aliyekuwa mtangazaji wa kipindi maarufu cha 106 & Park cha BET Rocsi Diaz wakitoka kwenye mgahawa wakiwa wameshikana mikono huko California. Mastaa hao walikuwa wamevaa kawaida tu, huku Eddie akiwa amepiga kitu chake cha tracksuit ya adidas na Rocsi akiwa na denim jacket! Wote Eddie na Rocsi walionekana wakitabasamu kiasi cha kupendeza kuwa wapenzi Source: