BOB JR ANAOMBA KURA ZAKO KILI MUSIC AWARDS
Mambo Vipi Guyz....Jamani kwa mara nyengine tena Nipo katika Kugombea Tuzo Za Tanzania kupitia music Plz i nid kura zenu zote This Tym nichukue Tuzo mbili nazogombania1.Mtumbuizaji Bora Wa Kiume Andika neno B3 ktk simu yako Then tuma kwa namba 15747
2.Mtayarishaji (Producer) Bora Wa Nyimbo Mwaka 2011-12 Andika neno T3 ktk simu yako Then tuma kwa namba 15747
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu asanteni kwa wote mtakaobahatika kunipigia kura 1 Love
& Katika mtandao basi mnaweza kuvote www.kilitimetz.com au ktk www.teentz.com au ktk innovexdc.com
Pamoja guyz