BARNABA NA SAFARI YA UFARANSA MARCH 28
Fally akimtunza barnaba baada ya kumshangaza kwa kuimba nyimbo zake kibao kwenye show ya fally iliyofanyika mwakajana hapa Tanzania
Barnaba, msanii alietoa single yake mpaya MAGUBE GUBE, march 28 au 29 mwaka huu anatarajia kusafiri kwenda Ufaransa kwa ajili ya kurekodi kolabo yake aliyoitangaza toka December mwaka jana, kwamba angeifanya na mkali Fally Ipupa wa Congo DRC, ambae kwa sasa anaishi Ufaransa. Barnaba anategemea wadhamini watakaosaidia
Barnaba anategemea wadhamini watakaosaidia kulipa hela za safari ambapo atakuepo Ufaransa kwa siku nne, studio itakayotumika kurekodi ni studio anaporekodia Legend Lokua Kanza na mastaa wengine wa Congo, ni studio ya ndugu yake Papa Wemba.
Barnaba amesema pia amepata ofa ya kurekodi bure hiyo kolabo katika studio hizo kwa heshima ya Fally Ipupa, lakini gharama atakazo jitegemea ni usafiri pamoja na atakapofikia ambapo gharama zote hazipungui milioni nne za kitanzania
Posted by Unknown
on 10:39 AM. Filed under
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0.
Feel free to leave a response