10:43 AM | Posted by Unknown
leo hii msanii kutoka kundi la Mexicana lacavena ametangaza rasmi kujitoa katika kundi hilo alilolianzisha na kuwa nalo kwa takriban miaka miwili hivi sasa, Baghdad amesema ameachana na kundi hilo ili aweze kusimama yeye kama yeye kwasababu kapata mtu wa kummanage yeye pekee, licha ya hiyo amesema sababu nyingine ni kutokuelewana kwa baadhi ya ratiba wanazozipanga katika kukutana na wenzake

Posted by Unknown
on 10:43 AM. Filed under
Beefs
.
You can follow any responses to this entry through the
RSS 2.0.
Feel free to leave a response