|

Kumbe Baadhi Ya Wanawake Hutumia Mbwa Kujiridhisha Kimahaba


KITENDO cha hivi karibuni cha baadhi ya mastaa Bongo, Wema Sepetu, Irene Uwoya,Jackline Patrick na Aunt Ezekiel kununua mbwa kimeibua jambo kufuatia madai kuwa, wengine huwatumia wanyama hao kimahaba.
Wakizungumza na Ijumaa kwa nyakati tofauti, baadhi ya watu walisema kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanawake bila aibu kuwatumia mbwa katika mambo ya kimahaba kana kwamba wanaume hawapo.
Mwandishi wa Marekani atoboa
Akielezea tabia ya baadhi ya wanawake kutumia wanyama hao katika kujiridhisha ‘kimalovedove’, mwandishi mmoja wa habari za kijamii nchini Marekani, Josephine Cris aliandika mtandaoni kuwa, mchezo huo uko sehemu nyingi ulimwenguni licha ya kwamba una madhara.
“Ukweli ni kwamba baadhi ya wanawake hutumia mbwa katika kufanya nao mapenzi, hufanya hivyo kwa njia wanazozifahamu wenyewe.
“Wengi hufanya hivyo kwa siri kwani wanajua jamii itawashangaa kama watakiri. Ni vitendo vinavyonikera sana hasa ukichukulia kwamba madhara ya kufanya mapenzi na mbwa yapo wazi.
“Hebu jiulize, kipi kinachoweza kukuvutia kwa mbwa hadi akupe mshawasha wa kufanya naye mapenzi, kwanza mnyama siku zote ni mchafu na anaweza kukuambukiza maradhi, sasa sijui kwa nini watu wanawatumia kimahaba,” anaeleza Josephine.
Kwani huwa inakuwaje?
Inaelezwa kuwa, baadhi ya wanawake hasa wale wenye tabia ya kulala au kukaa na mbwa wao vitandani, wanapowashikashika mwilini mwao hujisifikia raha na wengine hufikia hatua ya kumaliza mchezo kabisa.
Bongo mchezo huo upo?
Licha ya vyombo vya habari kuripoti mara kwa mara juu ya wanawake wa Mamtoni kufanya mchezo huo, Bongo haijawahi kuripotiwa licha ya kuwepo kwa madai kuwa wapo wanaofanya hivyo.
Akitoa ushuhuda juu ya hilo, rafiki wa staa mmoja aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema: “Nyie waoneni tu hao mastaa wanaonunua mbwa na wengine kufikia hatua ya kuingia nao vyumbani, kuna siri kubwa nyuma yake.
“N’shawahi kumshuhudia….(anataja jina la msanii mmoja wa filamu) akicheza kimahaba na mbwa wake.”
Mastaa wenyewe wanasemaje?
Wema: Kwanza mimi mbwa wangu (Fiona) ni wa kike na namchukulia kama mwanangu wa kwanza kwa hiyo siwezi kufanya naye mapenzi kama hao wengine wenye mchezo huo mchafu.
Uwoya: Mbwa wangu mimi (Dallas) anakaa Mbezi mimi nakaa Sinza, kwa hiyo siwezi kufanya mchezo kama huo, mimi nina mapenzi tu na mbwa lakini upuuzi kama huo siwezi kufanya.
Aunt: Jamani mimi nina mbwa wa kike na wa kiume, nawachukulia kama midoli ambayo inanichangamsha pale ninapokuwa mpweke.
Jack Patrick hakuweza kupatikana kuzungumzia hilo

Posted by Unknown on 12:14 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

Blog Archive

Labels

Recently Commented

Recently Added