Breaking News: Mbunge wa Rombo kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe Joseph Selasini amepata ajali mbaya ya gari
Breaking News: Mbunge wa Rombo kwa tiketi ya CHADEMA, Mhe Joseph Selasini amepata ajali mbaya ya gari eneo la Boman'gombe, akiwa safarini kutoka Arusha ambapo watu watatu wamepoteza maisha hapo hapo.
Mhe Joseph Selasini |