Gari na Nyumba ya Askofu zachomwa Moto Katika Vurugu za Zanzibar
Gari la Kiongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Bishop Dickoson Maganga lililochomwa moto usiku wa jana katika eneo la Kariakoo nje ya kanisa hilo. |
Kikosi cha Kuzuia Ghasia (FFU),
kikizunguka katika maeneo ya Michenzani kuimarisha ulinzi ambapo tayari
jeshi la polisi limepiga marufuku mikusanyiko yoyote.
Picha zote na http://zanzibaryetu.wordpress.com/