Natokea ara nyie mnaita a.town,jiji lenye utajiri twatumia mpk pound,wanacheka usoni wakiona wanaumia,wanapinga ukwel zamu yng imefikia,walidhani milele kwamba watabaki wao,jiji nimelishika pka ma vyumbani mwao,ma snitch hellow holaa,kachaa natoka ara,hii ni marathon mpk mwisho wa barabara.....holaaaa hii ni line ambazo zipo katika vers ya kwaza ya ngoma yng mpya ya siri zao..
Posted by Unknown
on 8:44 AM. Filed under
Bongo Flavor,
Hits
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0.
Feel free to leave a response