MAD ICE ATOA WIMBO MPYA - TE AMO
- TE AMO – MAD ICE [LYRICS] Moyo wangu uko kwako wee Mawazo yote yako kwako wee Kila ninalolifanya nakuweza wee Na kila ninapokwenda nakuwaza wee Ndiyo maana nasema .... aah Te Amo, Je t'aime, Nakupenada x2 -[duuaah shubidabaduuaahx2] I cannot explain how I feel for you Everyday that goes by I go more crazy for you I don't wanna spend a minute without you by my side My love for you will never fade away .... aah Te Amo, Je t'aime, Nakupenda x2 Haya nayosema... Nitoka moyoni Haya nayokwambia... Hitoka moyoni mwangu Aaaah Te Amo , Je t'aime, Nakupenda x4 Moyo wangu.... uko kwako..... wee
- credits
- released 01 December 2010
- tags
- tags: african music afro-soul mad ice world Finland