6:57 AM | Posted by Unknown
Taratibu msanii Sajna anaanza kujipatia sehemu maalum katika uwanja mpana wa muziki wa kizazi kipya.Jambo moja ambalo linaanza kuwa dhahiri ni kwamba Sajna ni mtunzi mzuri wa nyimbo.
Hapa anakuja na wimbo mpya ambao ameupa jina Sitaki Kuumizwa. Naambiwa huu ni muendelezo wa kile kisa cha mapenzi alichoanza nacho katika wimbo Iveta.
Katika wimbo huu,Sajna amemshirikisha mwanadada Linah kutoka Tanzania House of Talent(THT).Usikilizekwa play list na kisha sema usikike
Posted by Unknown
on 6:57 AM. Filed under
Hits
.
You can follow any responses to this entry through the
RSS 2.0.
Feel free to leave a response