|

Mnyika Ashinda kesi yake Ya uchaguzi

Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), John Mnyika. Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), John Mnyika ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili ya uchaguzi wa jimbo hilo wa mwaka 2010, baada ya Mahakama kutupilia mbali mashitaka yote matano yaliyokuwa yakimkabili ambayo ni : 1)Kwamba Mnyika alimtuhumu kuuza nyumba za UWT 2)Kutumia Laptop za Mnyika Kuhesabu kura 3)Kuingia watu wengi wa CHADEMA ktk chumba cha kuhesabia kura 4)Kuzidi kwa kura hewa 16,000 5)Kukosewa kwa karatasi za kujumulisha kura (form) Mlalamikaji Hawa Nghumbi (CCM) anatakiwa kulipa gharama zote za kesi hiyo kama ilivyoamriwa na Mahakama.

Posted by Unknown on 8:47 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

Blog Archive

Labels

Recently Commented

Recently Added