|

Sikiza Track mpya ya Dogo Janja Ft Chege - Siri zao


Natokea ara nyie mnaita a.town,jiji lenye utajiri twatumia mpk pound,wanacheka usoni wakiona wanaumia,wanapinga ukwel zamu yng imefikia,walidhani milele kwamba watabaki wao,jiji nimelishika pka ma vyumbani mwao,ma snitch hellow holaa,kachaa natoka ara,hii ni marathon mpk mwisho wa barabara.....holaaaa hii ni line ambazo zipo katika vers ya kwaza ya ngoma yng mpya ya siri zao..
 

SIRI ZAO BY DOGO JANJA

Posted by Bongo Flavor on 8:44 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

Blog Archive

Labels

Recently Commented

Recently Added