|

SAJNA AACHIA WIMBO MPYA FEAT LINAH -SITAKI TENA KUUMIZWA

Taratibu msanii Sajna anaanza kujipatia sehemu maalum katika uwanja mpana wa muziki wa kizazi kipya.Jambo moja ambalo linaanza kuwa dhahiri ni kwamba Sajna ni mtunzi mzuri wa nyimbo.
Hapa anakuja na wimbo mpya ambao ameupa jina Sitaki Kuumizwa. Naambiwa huu ni muendelezo wa kile kisa cha mapenzi alichoanza nacho katika wimbo Iveta.
Katika wimbo huu,Sajna amemshirikisha mwanadada Linah kutoka Tanzania House of Talent(THT).Usikilizekwa play list  na kisha sema usikike

Posted by Bongo Flavor on 6:57 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

Blog Archive

Labels

Recently Commented

Recently Added